Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Upo njema mkuu!! nakukubali!Ngoja nikufarishishe na hii...
DUh! siamini bado nipo ofisini!!
Anyway, nitaangalia hata kipindi cha pili basi!
Ronaldo dives!!!!...naswi tunapigwa Yellow...damn!
mkuu usikose baadae mechi ya brazil kutuwekea picha za watoto wazuri wa ki-brazil uwanjani manake kutokana na style ya kucheza ya Dunga wale tu ndio watachangamsha mechi leo lol.
Any link streaming online?