Nilipoona kwenye wale 11 wa kuanza Muntari yupo tumaini lilikuwa kubwa, kwa wale wanaoangalia serie A wanajua vitu vyake! Ila kocha sijui anabeef naye lipi? common bado Boateng
Hapo nd'o unaona experience over flair...afadhali Ayew aketi benchi tu maana ba'mdogo anapenda chenga kweli.
Wakirudi second half watie cha pili kisha ngoma itakua imetulia. Bao moja is too close for comfort...tumeona Brazil asubuhi walivyochemka.Keeping my fingers crossed.