haya maneno yako yanatia uchungu, binafsi siamini kama ni rahisi kumpata kocha mwenye moyo wa kujitolea kama Maximo. Hawa wazungu ni wepesi sana kutimka wakiudhiwa kidogo tu. Wala hatujajifunza kwa akina Micho, Papic, Nelsen etc.
Tell me kuwa YOU ARE JOKING otherwise yoo are not serious...eti Stars wakijipanga wanaweza kuwa funga Greece.......Stars ya kwetu.....eti tukafunga moja dhidi ya matano tulipocheza na brazil, tunajidai.....tumevunja mwiko......
Na kuunga mkono kwa kuamua kila mechi iwe na thread yake, vinginevyo ingekuwa vurugu mechi. Itakuwa furaha sana Wanigeria kama watatupa raha Waafrika wote Ulimwenguni pamoja na kuwa Argentina ni moja ya timu inayopewa nafasi kubwa ya kufika mbali na hata kuchukua kombe la dunia.
JOHANNESBURG, SOUTH AFRICA - JUNE 12: A Nigeria fan proudly holds her scarf ahead of the 2010 FIFA World Cup South Africa Group B match between Argentina and Nigeria at Ellis Park Stadium on June 12, 2010 in Johannesburg, South Africa