South Korea wazuri na wana nguvu inawasaidia sana sijui wanakunywa supu za mawe manake ukiwaangalia unaweza kuwazarau lakini wamekomaa sana ,wana mudu physical game ya haina yoyote.
Hawa mabwana wana ujasiri wa mchwa aisee.
Physical fitness yao najua kiboko kweli maana kuna umilitary flani in most aspects
of their lives based on their issue with North Korea.Nimekubali so far.
mkuu wala si-underestimate S.Korea, ila Argentina ni zaidi ya Korea. Na ninaamini 9ja hawatakubali kufungwa na Greece ndiyo maana ninasema kama watakosa (which is most likely) Greece watatoka na point 0.
South Korea wazuri na wana nguvu inawasaidia sana sijui wanakunywa supu za mawe manake ukiwaangalia unaweza kuwazarau lakini wamekomaa sana ,wana mudu physical game ya haina yoyote.
Hawa mabwana wana ujasiri wa mchwa aisee.
Physical fitness yao najua kiboko kweli maana kuna umilitary flani in most aspects
of their lives based on their issue with North Korea.Nimekubali so far.
Kuna uwezekano kuna delay kwa watu, lakini dakika hii ya 85 sitarajii muujiza wa Greece kutoa droo, hata wakipata droo ndo vibonde wa kundi hili nadhani...