Mpira kama ungekuwa unachezwa kwenye vyombo vya habari England wangekuwa wanaongoza 4-0 mpaka dakika hii..Lakini ktk hali halisi hadi dakika hii hawana shot on goal
algeria wanakiputa sana wakicheza mechi na waafrica ,kwa mfano hio na Egypt walipiga mpira kinoma ndio maana nilikuwa nawategemea huku kwenye world cup.Sasa world ndio hii naona vitu viwili tofauti au mambo ya migogoro kwenye timu yao iliokuwa inaendelea ime wa-cost.