Sasa mbona wao wanaendelea kutukopesha halafu wanasema mikopo imevuka kiwango kinachokubalika?
Au tatizo ni mikopo ya Wachina?
Hivi ni lini tutaanza kufanya wenyewe uchambuzi wa mara kwa mara wa uchumi wetu ukiacha zile ripoti za bei za bidhaa na mfumuko wa bei za NBS?