World Bank?!
Unazungumzia wale Mabepari wa Bretton Woods?!
Hivi una habari wakati wengine mnawasingizia kuwaita Mabeberu lakini Mabeberu yenyewe yanayotoa hadi uvundo wa kibeberu ndo yapo Bretton Woods?!
You're very funny my firend!!!
Unatarajia WB wata-encourage njia zitakazowafanya makusanyo yenu ya kodi yashuke kisha mshindwe kulipa pesa zao kwa kisingizio cha coronavirus?!
Hivi unadhani Mijamaa ya Bretton Woods hofu yao dhidi ya COVID-19 ni watu kufa?!
Hata mimi ukiwa na pesa yangu ukapata coronavirus, deep inside my heart nitakuwa nasema "dah, ina maana jamaa akifa pesa yangu ndo basi tena!"
Hapo WB akili yao yote ipo kwa jinsi dunia mzima itakavyowaambia wa-postpone kuzidai nchi maskini kutokana na kuathirika na COVID-19
Anyway, utamu wa habari za mtandaoni ni kuweka link ili watu wakajisomee wenyewe kwenye main source!!