World Bank: Anti Corona policy response: why copycat may not work in Kenya, South Africa

blix22

Senior Member
Jun 23, 2013
185
1,000
WORLD BANK: ANTI CORONA POLICY RESPONSE: WHY COPYCAT MAY NOT WORK IN KENYA, S. AFRICA

Tanzanian approach applauded

WASHINGTON, USA

Facing a fast-changing situation with great uncertainty and so many unknowns, most governments around the world have resumed to similar approaches to contain the COVID-19 pandemic.

Some African countries including but not limited to South Africa, Ghana, Rwanda, Kenya, have reacted quickly and decisively to curb the potential influx and spread of the COVID-19 virus very much in line with emerging international experience.

As the situation evolves, there are more questions about suitability and likely effectiveness of some of these policies such as strict confinement.

As African governments deploy a series of emergency measures, structural features of African economies should shape the policy responses that are designed and implemented to fend-off COVID-19.

There are multiple reasons why economic policies implemented in Sub-Saharan Africa should be different from those adopted in advanced countries and (some) middle-income countries.

Tanzania is one of the countries in the region cited as one of the best examples for its strategic approach that considers the best of its political economy and well being of the society.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
10,945
2,000
World Bank?!

Unazungumzia wale Mabepari wa Bretton Woods?!

Hivi una habari wakati wengine mnawasingizia kuwaita Mabeberu lakini Mabeberu yenyewe yanayotoa hadi uvundo wa kibeberu ndo yapo Bretton Woods?!

You're very funny my firend!!!

Unatarajia WB wata-encourage njia zitakazowafanya makusanyo yenu ya kodi yashuke kisha mshindwe kulipa pesa zao kwa kisingizio cha coronavirus?!

Hivi unadhani Mijamaa ya Bretton Woods hofu yao dhidi ya COVID-19 ni watu kufa?!

Hata mimi ukiwa na pesa yangu ukapata coronavirus, deep inside my heart nitakuwa nasema "dah, ina maana jamaa akifa pesa yangu ndo basi tena!"

Hapo WB akili yao yote ipo kwa jinsi dunia mzima itakavyowaambia wa-postpone kuzidai nchi maskini kutokana na kuathirika na COVID-19

Anyway, utamu wa habari za mtandaoni ni kuweka link ili watu wakajisomee wenyewe kwenye main source!!
 
Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,189

World Bank ni mdau mkubwa wa maendeleo
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
10,945
2,000
World Bank ni mdau mkubwa wa maendeleo
Mdau mkubwa wa maendeleo ni UNDP ambae mipango yake ndiyo inaangalia economic development wakati WB wanachojali ni Economic Growth!

Leo hii Tanzania akitokea tajiri mkubwa sana aka-invest trillions of TZS kiasi kwamba kodi na GDP ikapanda maradufu, mtasifiwa kweli kweli na WB lakini UNDP wataangalia ikiwa wellbeing imeboreka kutokana na hiyo investment!!
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
3,289
2,000
World Bank?!

Unazungumzia wale Mabepari wa Bretton Woods?!

Hivi una habari wakati wengine mnawasingizia kuwaita Mabeberu lakini Mabeberu yenyewe yanayotoa hadi uvundo wa kibeberu ndo yapo Bretton Woods?!

You're very funny my firend!!!

Unatarajia WB wata-encourage njia zitakazowafanya makusanyo yenu ya kodi yashuke kisha mshindwe kulipa pesa zao kwa kisingizio cha coronavirus?!

Hivi unadhani Mijamaa ya Bretton Woods hofu yao dhidi ya COVID-19 ni watu kufa?!

Hata mimi ukiwa na pesa yangu ukapata coronavirus, deep inside my heart nitakuwa nasema "dah, ina maana jamaa akifa pesa yangu ndo basi tena!"

Hapo WB akili yao yote ipo kwa jinsi dunia mzima itakavyowaambia wa-postpone kuzidai nchi maskini kutokana na kuathirika na COVID-19

Anyway, utamu wa habari za mtandaoni ni kuweka link ili watu wakajisomee wenyewe kwenye main source!!
Are u mad or something!!?
 
Eyce

JF-Expert Member
Mar 16, 2016
2,902
2,000
Miruzi mingi humpoteza mbwa...

Kama habari ina marefu yake ni kheri uweke link maana hizo sababu za kuchukua measures tofauti hazijaanishwa au hata tu kuonesha zitakuwa na effectiveness ya kiasi gani ???....

Habari ipo half baked na haitoi picha halisi kwabinafsi yangu
 
Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,189
2,000
Mdau mkubwa wa maendeleo ni UNDP ambae mipango yake ndiyo inaangalia economic development wakati WB wanachojali ni Economic Growth!

Leo hii Tanzania akitokea tajiri mkubwa sana aka-invest trillions of TZS kiasi kwamba kodi na GDP ikapanda maradufu, mtasifiwa kweli kweli na WB lakini UNDP wataangalia ikiwa wellbeing imeboreka kutokana na hiyo investment!!
Wote mabeberu hao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom