mmmmh !!!!!!!!!!!! njooo uchochoroni nikwambieSasa hawa wasiojua kizungu wanatumia maneno gani?
...
Jee ni kweli ke wote wako hivyo?
...
Mi nna Zombie wangu akija anachekacheka ndio siambulii kitu hapo!
mmmmh !!!!!!!!!!!! njooo uchochoroni nikwambie
Hahahahahaaa! Tangulia nakuja!
Sasa hawa wasiojua kizungu wanatumia maneno gani?
...
Jee ni kweli ke wote wako hivyo?
...
Mi nna Zombie wangu akija anachekacheka ndio siambulii kitu hapo!