Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Hayee soddooShilawadu at job
Iweke mbona nimesikiliza kama ya kawaida tu loNyimbo ninayo ila nashindwa kuiweka humu nyimbo kali sana
ngoja wajeNa wakija lazima msome tu chezea ubuyu
Na watu tushaacha kuangalia movie zao[emoji23][emoji23]Eti atatoa series,Wolper ajue kua sasa hivi movie haziangaliwi sana,maisha magumu tunarudi nyumbani tukiwa tumechoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hamornize kaangukia katika penzi zito la muitalianoHao jamaa wanapendana sema vitamaa vya kuchepuka
Kama vile nilimsikia dada akisema Raj alipenda pochi kwa mzunguSio hamornize kaangukia katika penzi zito la muitaliano
Shangaa na weweHilo povu la wolper mmh!hapana kwakweli
Kama ka move on kama anavyosema hiyo nyimbo angeipuuza tu
Ifikie wakati aanze kujitambua na yeye kila siku ni yeye tu na mauzauza yake khaa