Wakala ni fala huyo,huwezi kutuma hela kabla ya kupokea na kuhesabu helaLeo majira ya asubhi kama dakika kadhaa zilzopita jamaa mmj tapeli ameenda kwenye moja ya wakala wa tigo pesa maeneo ya kinzudi salasala goba..ambapo alienda na ella bandia kwa lengo la kutuma pesa..akamwambia wakala anataka kutuma kiasi cha sh.370,000 akamtajia no..ya cmu..wakala akaituma wakati amemalza kutuma ile anakabdhiwa ella kumbe za bandia..na jamaa akatoka nduki kwa lengo la kukimbia ikiwa wakala akiwa ndani..ile kuja kungalia ella bandia..akaanza kupga kelele mwiz..mwiz..wakatoka naye nduki..kumshka akachzea kichapo..muda wakt anapigwa baht alikuwa na mungu difender ikatokea ikawa pona yake..na ansema ana wenzke ambao anafanya nao hyo mishe ya utapel..ella bandia zipo na amekamatwa hana cmu ella katuma kwa mkuu wao..
Mkuu ni kwa tesha au??Leo majira ya asubhi kama dakika kadhaa zilzopita jamaa mmj tapeli ameenda kwenye moja ya wakala wa tigo pesa maeneo ya kinzudi salasala goba..ambapo alienda na ella bandia kwa lengo la kutuma pesa..akamwambia wakala anataka kutuma kiasi cha sh.370,000 akamtajia no..ya cmu..wakala akaituma wakati amemalza kutuma ile anakabdhiwa ella kumbe za bandia..na jamaa akatoka nduki kwa lengo la kukimbia ikiwa wakala akiwa ndani..ile kuja kungalia ella bandia..akaanza kupga kelele mwiz..mwiz..wakatoka naye nduki..kumshka akachzea kichapo..muda wakt anapigwa baht alikuwa na mungu difender ikatokea ikawa pona yake..na ansema ana wenzke ambao anafanya nao hyo mishe ya utapel..ella bandia zipo na amekamatwa hana cmu ella katuma kwa mkuu wao..
Hapana ni usukumani maeneo ya right way huku..kabla hujavuka bondeMkuu ni kwa tesha au??