Wizi Mpya wa magari Dar!

Wizi mwingine bana mnajitakia tu.
Ok, test drive sio mbaya lakini si ilifaa na wewe uwepo pembeni ili wakati anaendesha awe anakuambia makosa au observation yake kuhusu hiyo test? Au hiyo gari inapakiza mtu mmoja tu ambae ni dereva?? Na kwanini isiwe mchana??
 
Mkuu umejiabisha sana, yaani umeibiwa kizembe sana, harafu unaweka Uzi kabisa jf duuuuh
 
Pole sana Mwanajamii kwa yaliyokusibu and thanks for your alert!
 
Huo ni uzembe mkuu maana huwezi kumwachia mtu atest gari usiku wote huo.
 
Why did you let him go alone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…