Wizara ya kilimo watatoa ajira lini?

obert

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
42
Reaction score
3
Habarini wanajamvi,samahani naomba kuuliza mwenye kujua wizara ya kilimo chakula na ushirika watatoa ajira lini?maana toka mwaka huu wa fedha uanze hawajaajiri mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…