Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 778
- 1,723
Wizara ya elimu inahusika na SERA ya Elimu na Mitaala peke yake plus na vyuo vya elimu.habari gani waungwana......
Inasikitisha na kuhuzunisha pale mambo yanayotakiwa yatolewe ufafanuzi na wizara ya elimu,,hivi sasa yanatolewa maelezo na wizara ya tamisemi...
Imekaaje waziri wa tamisemi anaongelea masuala ya elimu wakati waziri husika yupo..
nimemsikia ummmy akisema " watoto waende kuripoti shuleni hata kama hawana uniform "...sasa Mimi najiuliza huyu mama kawa msemaji wa wizara ya elimu?
Sasa hivi wizara ya elimu wamebaki kutunga mitihani na kutangaza matokeo basi!
habari gani waungwana......

suala la uniform ni suala la wizara ya elimu. Yani kwa ufupi mwalimu yupo chini ya tamisemi mwanafunzi yupo chini ya elimu kwa aina flan ya utendaji.Wizara ya elimu inahusika na SERA ya Elimu na Mitaala peke yake plus na vyuo vya elimu.
Suala la masuala ya wanafunzi, kuandikishwa, majengo, chaki, ajira na miundombinu yote iko chini ya TAMISEMI.
Hata Wizara ya Afya iko hivyo.
Yeye hajasema wanafunzi wasivae Uniform.suala la uniform ni suala la wizara ya elimu. Yani kwa ufupi mwalimu yupo chini ya tamisemi mwanafunzi yupo chini ya elimu kwa aina flan ya utendaji.
idadi ya wanafunzi kwa darasa moja ni elimu lakini jengo tamisemi sasa unakuta tamisemi inaharibu elimu kwa kutofata au kutimiza wajibu wao.
mfano wanafunzi wanapozidi idadi ina maana tamisemi wameshndwa kutimiza wajibu wao na hvyo wanamuathiri mwalimu mwanafunz na wizara ya elimu
.unapoingilia suala la uniform moja kwa moja unaigusa wizara ya elimu. Uniform ni nidhamu uniform ni makubaliano uniform ni utambulisho
Set up iko poa tuu.unayejichanganya ni wewe mwenyewe.Watunga sera ni wizara ya elimu.watekelezaji wa sera ni Tamisemi.Ummy na Ndalikchako wenyewe wanelewa mipaka ya kazi zaoMiingiliano (isiyo ya lazima) ni mingi sana kwenye mfumo wa Nchi nzuri ya Tanzania. Hii inachangia uzembe wa baadhi ya maafisa, viongozi, watumishi na watawala, na hivyo kupelekea kuzorota kwa kasi ya ukuaji, uzalishaji, utoaji huduma, haki na suala la maendeleo kwa ujumla.