Nimesikia hadi mwezi wa 10...hawa jamaa wanakata stimu kweli, manake nasikia kuanzia mwaka huu watakaojiunga na Clinical Officers na Nursing ni wale walifika form six tu...wale wa fom 4 labda ni certificate basi!!

yaani we unataka kupata diploma na form 4 yako wakati kuna pcb,cbg kibao wenye 4? Unajua elimu ya afya inadharauliwa sana,siku hizi hata walinzi wa hospitali mitaani wanajiita madaktari! Nursing assistant ndo kabisa anatamani kufanya c/s.

Hata kwenye tangazo lao wamesema hyo,diploma ya huko ni uwe 4m4 na c za bios na chemistry o uwe 4m6 pcb.afu certificate ni at least pcb zote D.bt nasikia walioomba ni wa chache kutokana na kigezo hcho.