C calyx Member Joined May 3, 2014 Posts 38 Reaction score 8 May 21, 2014 #1 Jamani anayejua kama wameita watu kwenye usaili atujuze. Naona miezi imekatika kimyaa au ndoo watoto wa vigogo wamechukua! Tujuzane
Jamani anayejua kama wameita watu kwenye usaili atujuze. Naona miezi imekatika kimyaa au ndoo watoto wa vigogo wamechukua! Tujuzane
TATIANA JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 4,695 Reaction score 2,449 May 22, 2014 #2 Posts gani?