Labda sio Watanzania! Hata CCM wawawekee vijiti machoni wataendelea kupeta tu, hawana mda. Chukulia mfano, kila mtu anawataka Ukawa warejee Bungeni, lakini hakuna aliyewakemea CCM kwa kuleta maoni ya Chama bungeni, Yani usuluhishi wa kukomalia Ukawa tu, CCM no!