mchushi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 216 Reaction score 98 Nov 13, 2019 #1 Pata wireless CCTV camera zenye umbo la bulb (spy camera) zinazotumia memory card kwa offline mode au WiFi kwa remote monitoring. Zinawaka kama bulb za kawaida hivyo ni ngumu mtu kuzitambua kama ni camera na kuna option ya kuzima pia option ya taa kwa kutumia application yake. Unaweza kuview matukio kwa kutumia app ya Android au iPhone. Ni nzuri kwa ajili ya kusimamia biashara za mtaji wa kati na usalama wa mtoto/ dada wa kazi nyumbani na matumizi mengineyo. Nicall/Whatsapp 0752548861 kwa maelezo zaidi. Napatikana Mbeya lakini pia mikoa ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma.
Pata wireless CCTV camera zenye umbo la bulb (spy camera) zinazotumia memory card kwa offline mode au WiFi kwa remote monitoring. Zinawaka kama bulb za kawaida hivyo ni ngumu mtu kuzitambua kama ni camera na kuna option ya kuzima pia option ya taa kwa kutumia application yake. Unaweza kuview matukio kwa kutumia app ya Android au iPhone. Ni nzuri kwa ajili ya kusimamia biashara za mtaji wa kati na usalama wa mtoto/ dada wa kazi nyumbani na matumizi mengineyo. Nicall/Whatsapp 0752548861 kwa maelezo zaidi. Napatikana Mbeya lakini pia mikoa ya Dar es salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma.
mwambojoke JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,095 Reaction score 655 Jan 25, 2021 #2 Naitaka hii
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,771 Reaction score 15,777 Jan 25, 2021 #3 Si hizi huwa hazifanyi kazi bila internet?au wameboresha?
mwambojoke JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,095 Reaction score 655 Jan 31, 2021 #4 Zina memory card
Mvumbo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 3,491 Reaction score 12,156 Jan 31, 2021 #5 Una za solar system?