pentium II zama hizi?wakuu habari zenu,
nina laptop (compaq intel pentium ll) sasa kila nikiiwasha inaniandikia windows fail to start halafu inajizima yenyewe, nikiwasha tena mchezo uleule.
kama ikikubali kuwaka huzima niwekapo video hata game. natumia window xp, sina utaalamu wowote juu ya masuala haya ya compta. nini tatizo hapo na ufumbuzi ni upi?
Kwanza Pentium II haukupaswa kurun windows xp. ungekuwa karibu ningekusukumia angalau Pentium IV for free.
Mkuu nipo mbali sana. Angeweza lipia gharama za posta ningemtumia halafu alipe akienda ichukua, lakini bado itamgharimu $93 hivi.Ee bhabha inatia huruma sana, mwambie mahali ulipo aje achukue.