Windows 8 kwa PC imezinduliwa au only announced?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,699
Reaction score
104,830
Naomba kuuliza wakuu, hivi Windows 8 ya Microsoft imeshawekwa dukani au bado?
Kama bado mbona kuna mwanangu anatumia windows 8 katika machine yake? hii ni nini au fake?
 
izo wanaotumia ni either consumer/developer preview au the RTM version ambayo sio the final version iliozinduliwa jana. Iko madukani now na pia ipo unaweza ku upgrade to Windows 8 Pro kwa 40$.. But na amini kuna jamaa baada ya kununua jana/leo asubuhi wameweka kwenye torrents. Sija confirm kabisa coz nyingine ni fake au sio final, ndo inamaliza kushusha now. Will know after I set it up.
 
mia mia brother, ikiwa poa tushirikishane dollar 40 parefu...
 
pamoja sana mkuu, vipi inavutia? ahahahah
 

nimejaribu ili usiku niresume kwa mtandao wa tsh 200 but imekuja ki hivi ......!!!
Nadhani microsoft weshaingilia kati dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…