Hapana. Utakachoweza ni kuaccess website ya Lawson humohumo kwenye Windows 10.Kwahiyo ukifanya hayo, utaweza kuinstall window 7 kwenye computer ambazo zimegoma kuinstall window 7? Kuna computer mmoja ya HP yenyewe inakubali window 8 na kuendelea lakini ukiinstall window 7 port zote hazifanyi kazi.
Itakuwa na USB 3 0 ports. Download drivers zake uinstall. Win7 haiji na drivers za USB 3.0Kwahiyo ukifanya hayo, utaweza kuinstall window 7 kwenye computer ambazo zimegoma kuinstall window 7? Kuna computer mmoja ya HP yenyewe inakubali window 8 na kuendelea lakini ukiinstall window 7 port zote hazifanyi kazi.
Mkuu hapa mwenye compatibility mode na enable vipi?Kwa wale wanaotumia Windows 10 wana changamoto ya kufikia mtandao wa mfumo wa taarifa za kiutumishi HCMIS almaaruf "Lawson". Kompyuta za kisasa, nyingi hazikubali kuinstall Windows 7 au za zamani zaidi. Na pia Windows 7 inafikia EoL.
Maelezo haya yanaeleza namna ya kufikia mtandao wa Lawson kwa kompyuta za Windows 10.
Kwanza kwa Muhtasari.
1. Download Citrix DNE client 64-bit au 32-bit kutegemea na windows uliyonayo..
2. Install Cisco VPN client 64-bit au 32-bit kutegemea na windows uliyonayo.
3. Install Internet Explorer 11 au Run Internet Explorer 11 .
4. Enable compatibility mode kwenye Internet explorer.
Access LAWSON
Mkuu hapa mwenye compatibility mode na enable vipi?
Nimejaribu kuweka details za vpn lakini hai connect sijui nakosea wapi. msaada jinsi ya kujaza details
Nimejaribu kuweka details za vpn lakini hai connect sijui nakosea wapi. msaada jinsi ya kujaza details
Unfortunately tatizo langu halijatatuliwa kwenye link hii. ni kwamba nikiweka group name na password sipati ujumbe wowote zaidi ya status pale chini kubakia not connected. yaani nikiweka group name na password vpn haifungi na kupotea kama ilivyo kawaida. au nakosea kujaza zile parametre?Tatizo unalokutana nalo linatatuliwa na marekebisho kidogo kwenye Windows Registry.
Angalia hapa: http://www.firewall.cx/cisco-techni...fix-442-failed-to-enable-virtual-adapter.html
Unfortunately tatizo langu halijatatuliwa kwenye link hii. ni kwamba nikiweka group name na password sipati ujumbe wowote zaidi ya status pale chini kubakia not connected. yaani nikiweka group name na password vpn haifungi na kupotea kama ilivyo kawaida. au nakosea kujaza zile parametre?
Nimekliki mkuu..Umekliki Connect?
labda hapa wapi nijaze na wapi niache
Umekliki Connect?