Wadau nna desktop yangu inazingua, kila nkiwasha kwanza inaniletea notification kuwa flopy disk failure then drive 4 and 5 are not available
Sasa tatizo lenyewe ni nikiweka modem, modem inawaka taa nyekundu af compyuta inazima af inaanza kunguruma km gari,hapo tena mpk nizime kwnye switch, nimejaribu kuformat ila inakataa,na mi sio mtaalam sana wa haya mavitu
Msaada wenu tafadhali
badilisha window hyo itakuwa imechoka then kuhusu disk angalia sata/pata wire kama zko nzma,na kuformat hdd uku pc inawaka n kama unatwanga maji kwenye kinu,ukishndwa kabxa njoo veta ukutane na mm
badilisha window hyo itakuwa imechoka then kuhusu disk angalia sata/pata wire kama zko nzma,na kuformat hdd uku pc inawaka n kama unatwanga maji kwenye kinu,ukishndwa kabxa njoo veta ukutane na mm