Wimbo wa Child Benz ft Q chief_muda

Yan hlo dude nlipo lisikia xxl lilinpa mahisia makali sana hasa pale anapo imba chila nili mkubali sana na nlivo kuja kuona kwenye clouds E ndo kabisa kiujumla jamaa karudi fresh sana
 
Yan hlo dude nlipo lisikia xxl lilinpa mahisia makali sana hasa pale anapo imba chila nili mkubali sana na nlivo kuja kuona kwenye clouds E ndo kabisa kiujumla jamaa karudi fresh sana
Yap! Chilla kaimba kwa feeling sna kutoka moyoni mm mwenyewe nlitamani hata kulia,wote wapo na energy ya kutosha.
 
flow ya chid ni ileile ya 2008... abadirike kidogo (aji-twist)
 
Ukimwondoa Lord Eyes na Fid Q hakuna rapper ninaemkubali kama Rashid Makwilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…