Why women love bad boys

Its fair enough for nice guys to calculate risks associated, Standard deviation from each other, Coefficent of correlation, trade offs and finally degree of marginal utility - prospective Extra bits of utility/satisfaction that can be downloaded and enjoyed thereoff. (thats why they seem to be thinking too much, actually they are not thinking, they are doing calculations)

Badboys consider their thing restrospectively I guese

 
yaani mwisho ndio nimeielewa hiki kikristu ni tabu tupu..
 
I'm always a bad boy! I always keep it gangsta..But in a decent way...mimi tafsiri ninayoipata hapo kwenye uzi ni kwamba u-bad boy ni ile hali ya mtu kuwa real b'se hata wanaume wengi ni pretenders tunapokuwa na wanawake misifa miingi iliyochanganyika na uoga wa kuwa wakweli kutokana na hali zetu halisi..Kwa saikolojia niliyojifunza juu ya wanawake ni kwamba wanapenda sana Wanaume wenye confidence na walio real na ndio hao machoni mwa watu huonekana ni Bad Boys! Ukiaanza kuangalia wale woman magnet wengi ni watu ambao wako real..Mimi binafsi sijisifii ila nang'oa mizigo kibao sababu niko real na najiamini..siogopi kuanzisha mazungumzo na mwanamke yoyote yule hata aweje sababu pia its my hobbie kuchat na wanawake warembo! Asanteni!
 
Oooh Ok!
Bad boys kumbe ni good lovers,ngoja nikamuulize kama naye ni bad boy!
 
Madame B, Madame X na Kongosho!!!!!

Check the profiles waweza kuwa retired Bad Boys hao,wengi wakimaliza scenarios they put tools down and become family men!!!!!

I am ready to take him if he's done with his Phase I.....I hate bad boys....! I have enough dramas of my own and don't want to be victimise by anyone...lol
 
Wewe umejiridhisha vipi eti ulikua bad boy kwa vigezo vipi mujarabu kwa hao "wasichana" wako?as per maelezo yako ulikua mzinzi sana ulipokua dogo,ndio ina maana ulikua badboy?really?

Acha pitty assumptions mr Gud Boy!!!!
Umepewa mfano wa trip to Naivasha straight from the dancing floor!!!!!
Mbona hujauliza usafir wataotumia hiyo saa kumi za usiku,fuel na matumizi ya huko!!!!!!
No need to pick a toilet kit unajua vitapatikana wapi au huko watu hawatumii body apps!!!
Huulizi hata nguo za kubadikisha watapata wapi!!!!
Hiyo aspect aliyoelezea mtoa mada ni a tip of ice berg lakini kuna yanayomfanya awe hivyo huko ndio utapata uhalisia wa "bad boy";it has a process and mechanism underneath dont get taken with the observable behaviour or social label!!!!!!


We umeng'ang'ania habari ya uzinzi tu,nimesema hapo at school going age kuna ku organize picnics na school bashes,inaenda hivyo mpaka vyuo na makazini na maisha ya mtu huko alipo!!!!!!

Mr Gud boy we live once,we live today,no one is sure of what tomorrow holds!!!!!!!!
 
My sissies MadameX na Madame B!!!!!

Mi naona mijadala kama hii inatufanya tubadilishane mawazo na kujua nini kimo mawazoni mwa say wadada au wakaka regarding hii life yetu sababu huwezi kaa na mpenzi wako uanze kumuhoji kama mko polisi juu ya yeye anavyochukulia mambo fulani ya kijamii....

Madame X you were kinda bad gal eenh!!!!!!!!
 

Umo!!!!!

Na ndio maana huoni haja ya kwenda ATM kufuata pesa ukiwa na mpenzi wako eti tu sababu ulisema wewe muende mkale!!!!!Wakati yeye anazo hapo kwenye wallet na mnaweza ku offset baadae!!!!!!!
 
Umo!!!!!

Na ndio maana huoni haja ya kwenda ATM kufuata pesa ukiwa na mpenzi wako eti tu sababu ulisema wewe muende mkale!!!!!Wakati yeye anazo hapo kwenye wallet na mnaweza ku offset baadae!!!!!!!
Yeah man shida yote ya nini...kidume kutoka nduki kwenye ATM wakti yeye pesa anayo kwa pochi! Na mimi hakuna tabia nisiyoipenda kama kwenda kwenye ATM katikati ya mtoko..yaani inaonesha mtu hauko organized na mambo yako!
 
Yeah man shida yote ya nini...kidume kutoka nduki kwenye ATM wakti yeye pesa anayo kwa pochi! Na mimi hakuna tabia nisiyoipenda kama kwenda kwenye ATM katikati ya mtoko..yaani inaonesha mtu hauko organized na mambo yako!


keep the fire burning mkuu,hata ukija kuoa(kama bado)maisha yanaenda tu haina haja ya kwenda kuhangaika kwa watu kisa mambo yako yamechelewa ati unaona aibu kuchukua doo kwa wyf,utaonekana how come!!!!!!

ATM yangu ya karibu ni mke wangu!!!!!!
 
""Temptation.Confessions.of.a.Marriage.Counselor.(2013)"" Embu tafuteni hii movie hako kamada kanahusika sana.
 
keep the fire burning mkuu,hata ukija kuoa(kama bado)maisha yanaenda tu haina haja ya kwenda kuhangaika kwa watu kisa mambo yako yamechelewa ati unaona aibu kuchukua doo kwa wyf,utaonekana how come!!!!!!

ATM yangu ya karibu ni mke wangu!!!!!!

Hahahaha nshavuta jiko mkuu..na hapa jamvini nina-argue from my own experience..unajua hawa wadada huwa wanapata wadada wenzao wanadhani ni wanaume sasa wakipata wanaume wa ukweli wanawaita Bad Boys hahahahahaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…