Not just one country, Tanzania did it too.Thankfully, at least one country got it right. I hope other countries will learn from it.
Man,I real do not know how the government,health workers and the vaccinated feel.This is a classic example of a Bible saying which says if a blind man guides a blind man, all will fall into a pit and break their feet.It's a real shame.We gave them the science,but they chose not to listen, instead decided to follow fake science,very sad indeed.Where will the government hide?Man made virus
Nimelisikia hili jambo,limenisikitisha sana.Hata hivyo shida ni ufahamu wetu.Tusisahau kwamba hao hao wanao push hizo zinazoitwa C-19 vaccines ambazo kiukweli ni sumu,ndio hao hao wanao push huduma za clinic ambazo zina madhara kwetu.Suluhisho la kudumu ni wazazi kuacha kutumia clics,ambazo kiukweli zina hasara zaidi kuliko faida.Mababu zetu hawa kwenda click, lakini waliishi comfortably,sisi leo magonjwa ya ajabu kila kukicha,tutafakari njia zetu.Something is terribly wrong kwenye huduma za Afya.Ni sumu,ni sumu kila upande, tumeingizwa mkenge sana.wake up Tanzania, hela za misaada zisituharibie vizazi vyetu,
unaenda clinic unaambiwa mtoto hatapata huduma mpaka vaccine. tuamke tuache u punda😡
Nimelisikia hili jambo,limenisikitisha sana.Hata hivyo shida ni ufahamu wetu.Tusisahau kwamba hao hao wanao push hizo zinazoitwa C-19 vaccines ambazo kiukweli ni sumu,ndio hao hao wanao push huduma za clinic ambazo zina madhara kwetu.Suluhisho la kudumu ni wazazi kuacha kutumia clics,ambazo kiukweli zina hasara zaidi kuliko faida.Mababu zetu hawa kwenda click lakini, waliishi comfortably,sisi leo magonjwa ya ajabu kila kukicha,tutafakari njia zetu.Something is terribly wrong kwenye huduma za Afya.
Sio mjinga hivyo,niingize mwilini mwangu kitu cha majaribio!No way.Na kwenye comment yangu nimesema mambo ya msingi,address hayo,acha umbumbumbu.Wewe katika karne hii ya 21 unataka kuishi kama Babu yako wa karne ya 18--19, wewe vipi??!!🤣
Mbona ndui umechanja??!
Sio mjinga hivyo,niingize mwilini mwangu kitu cha majaribio!No way.Na kwenye comment yangu nimesema mambo ya msingi,address hayo,acha umbumbumbu.
Mababu zetu hawa kwenda click lakini, waliishi comfortably,sisi leo magonjwa ya ajabu kila kukicha,tutafakari njia zetu.
"Babu asiyekuwa na elimu asiyejua kujitibia jinsi tunavyojitibia leo nk, huyo babu yako alikuwa na smart phone, gari, computer nk??"Mambo gani ya msingi umesema??!!
Wewe unataka tuishi kama alivyoishi babu yako katika za kale, babu asiyekuwa na elimu asiyejua kujitibia jinsi tunavyojitibia leo nk, huyo babu yako alikuwa na smart phone, gari, computer nk??, mbona unashindwa kuhoji mambo hayo pia??!!
eti unadai tuache njia zao na tushike njia zetu!!!, njia zetu mbadala za kushika ni zipi katika zama hizi???!
🤣Angalia pumba unazosema:--
Nilikuwa mjinga sijui,sasa najua ubaya wa chanjo.Usisahau pia kwamba nilipochanjwa sikuwa na maamuzi yangu binafsi,kwa kuwa nilikuwa mtoto.Wewe katika karne hii ya 21 unataka kuishi kama Babu yako wa karne ya 18--19, wewe vipi??!!🤣
Mbona ndui umechanja??!
"Babu asiyekuwa na elimu asiyejua kujitibia jinsi tunavyojitibia leo nk, huyo babu yako alikuwa na smart phone, gari, computer nk??"
Aisee...,Mokaze kwa statement hiyo it seems hujui hata maana ya elimu na gadgets ulizozitaja.So,unaamini ume-elimika sana kuliko mabubu zetu,wrong 100%. Kuna kitu tunaita "Indegineous Knowledge," kama hujui,hii ndiyo elimu.Elimu tuliyofundishwa darasani is 100% fake,and has an evil agenda.If you are intelligent and diagnostic,hii ni wazi sana sasa kuliko hata zamani.
Halafu it's funny that you believe gari,computer is the thing,and as you mind controlled and slaves call it, development.Wrong.Hii yote ni mikakati miovu ya kutudhuru na kututawala.Hivi unajua athari za gari wewe,TV,computer, na hata smartphone.Tungekuwa more comfortable,healthier and peaceful without hizo gadgets.Amka Mokaze,you are living in an illusion.Halafu mbona hamjiulizi,kwani tuliwaomba watuletee hivyo vitu?Sasa kwanini watuletee.Kueni wajanja,mnapokea tu, wenzenu wamewamaliza kwa kutumia vitu hivyo hivyo.You are Zombies roaming the streets huku mkidhani you are mko salama.Very sad indeed.
Nilikuwa mjinga sijui,sasa najua ubaya wa chanjo.Usisahau pia kwamba nilipochanjwa sikuwa na maamuzi yangu binafsi,kwa kuwa nilikuwa mtoto.
Lenye faida from the West hakuna,ni a mind controlled and an enslaved person tu kama wewe anayedhani lipo.Unajua maana ya maneno; "Boko haram" ??, Boko ni mambo na maisha ya kimagharibi (things and western style of life) na haram ni haram (illegal/illicit).
Unatakiwa ujue kwamba; kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza, isitoshe kitu kizuri na chenye faida ndicho kinachodumu miongoni mwa watu, kama mambo ya mababu zako unayoyaona ni mazuri na hayakudumu miongoni mwa watu basi ujue hayana faida na hii sio Mokaze law bali ni universal law, na ndio maana wewe leo unatumia smartphone au Computer na Lugha (English) ya hao wazungu unaowabeza kuwasiliana na watu!!! Mbona hutumii lugha na vifaa vya babu zako in this case ??!!.
"Acha attitudes za Kiboko haramu ndugu", shika mambo yenye faida japo yatokee popote duniani.
Mimi nilichanjwa moja tu ya ndui,so madhara kama yapo ni minimal,tofauti na hawa wanaochanjwa 15 leo,ambao madhara ni obvious.Je, hiyo chanjo imekudhuru au haijakudhuru ??
Mimi nilichanjwa moja tu ya ndui,so madhara kama yapo ni minimal,tofauti na hawa wanaochanjwa 15 leo,ambao madhara ni obvious.
Labda nikufahamishe kama hujui,maana you seem to be very ignorant,kwamba hii wanayoita chanjo ya C-19 sio chanjo,ni Operating System(OS),Bioweapon,DNA Gene Therapy na a Nanoparticle 5G Activation System,it is symply deadly.
Mokaze naomba niwe mkweli, kama kweli hujui kinachoendelea duniani mpaka sasa,you are mind controlled,a slave and already a zombie.
Mimi nilichanjwa moja tu ya ndui,so madhara kama yapo ni minimal,tofauti na hawa wanaochanjwa 15 leo,ambao madhara ni obvious.
Labda nikufahamishe kama hujui,maana you seem to be very ignorant,kwamba hii wanayoita chanjo ya C-19 sio chanjo,ni Operating System(OS),Bioweapon,DNA Gene Therapy na a Nanoparticle 5G Activation System,it is symply deadly.
Mokaze naomba niwe mkweli, kama kweli hujui kinachoendelea duniani mpaka sasa,you are mind controlled,a slave and already a zombie.