Why men cheat? And why women cheat?

men.
1.men cheat because of their women greedy,wanaume wengi wana uchu wa kutembea na kila msichana mrembo zaidi na wanajisikia wana thamani kubwa wanapofanikisha kutembea na most beautiful girls. mvulana hata kama an miliki msichana mzuri vipi akimuona mrembo mwingine mate yanaanza kumdondoka
2.wanaume kwa kiasi kikubwa hawaridhiki na sex, kila mara wanasimamisha hata kama wanafanya kila siku, hii inachangia usaliti hasa wakati ambapo wapo mbali na wapenzi wao
women, he he he
1.hawa ni materialism, wanawake wengi ni money and material greedy, hawa hawaridhiki na vitu vya kidunia vinavyoonekana vizuri machoni pao, kama gari,simu,outing,nyumba, kifupi money seekers, wapo tayari kumegwa ila wanategemea watapata chochote kizuri i terms of material
2.sababu ya nyenge pindi wawapo mbali na wapenzi wao.
3.shida za wanawake na kutaka wasaidie pia zinachangia sana kuwafanya wacheat wapenzi wao,hasa kama wapenzi wao hawana uwezo wa kusaidia kila kitu kwa muda fulani, anaona bora agawe penzi ila atapata hata ya kufanya mambo yake
 
Mmh acha tu rafiki aisee
Tatzo rafiki ni vigezo tunavyojiwekea katika kumpata mpenzi,wengine wanataka mwenye pesa unampta mwenye pesa lakini hajakuingia moyoni na unazama kwa ambaye hana pesa hapo lazima udanganye tu,mwisho wa siku unakosa wote maana wote wakigundua unawachangnya habari yake inaishia hapo
 
Mvuto, pesa,na uhaba wa wanaume afu wanaume wenyewe nwdyz hamna nguv pale kartiii mpka munywe supu yapweza ss unadhan kifuatacho nin?
 

ni kweli rafiki....
 

Freaky attitude!
 

OMG!!!! Lala 1,this is soo me,!!!
Thanks you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…