luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
dah aisee this is to much ....wakenya wana wivu sana wa mapenzi na mapenzi yao yanavo honekana kuwa ya kula kiapo
Nataka kuamini upatikanaji wa habari kenya ni mkubwa ukilinganisha na kwetu ndo maana unaona kama yana trend sana tanzania pia mauaji yapo sana sema hayatangazwi!
We boya kumbe sio mkenya ni mtz kbsssss ........ila anyways nasikia kuna mwera mwingine nae kam shot demu wake risasi 47 kisa alimkataaNilishasema hiki kitu mara nyingi, wana habari wa Tanzania ni wazembe kwenye kusaka taarifa za matukio.
Hii inachangia kwa nchi kuonekana tulivu ila kimya kimya kuna mambo ya kiajabu.
Wana habari wenu hata kuhoji wako ovyo sana, niliona kwenye YouTube jana wanavyomhoji Ndugai, yaani aliwavaa wote wakabaki kimya.
Usiwe unanitag kwa mada za kijinga kama hizi.Dear friends brother and sisters ! habarini ... matukio ya mashumbilizi ya wapenzi yanazidi kushika kasi nchini kenya. Kama tujuwavyo kumekuwepo mfululizo wa matukio ya wapenzi kuuana ..last week ivy alipigwa shoka na mtu aliyejidai ni mpenziwe SASA LEO KUNA mwanafunzi mwingine toka chuo kikuu cha pwani kaunti ya kilifi..msichana ajulikanae kama Naomi alishambuliwa na mtu anayedaiwa ni mpenziwe Henry. Henry alifika nyumbani kwa Naomi akiwa na visu vi3 ktk begi lake akaingia ndani mwa Naomi kisha akaanza kumshambulia.
WHY ALWAYS KENYA .? Hivi vitu vinazidi kuichafua nchi ya majirani ..
MK254 , Janerose mzalendo whats up people overthere
Ati waandishi wa habari wazembe, we have more media stations than Kenya, its well known huko kwenu hakuna amani ni kuuana uana tu. Sasa usisingizie waandishi wetu. This is just a peaceful country by nature, huwezi linganisha na your shithole murdering point.Nilishasema hiki kitu mara nyingi, wana habari wa Tanzania ni wazembe kwenye kusaka taarifa za matukio.
Hii inachangia kwa nchi kuonekana tulivu ila kimya kimya kuna mambo ya kiajabu.
Wana habari wenu hata kuhoji wako ovyo sana, niliona kwenye YouTube jana wanavyomhoji Ndugai, yaani aliwavaa wote wakabaki kimya.
Matukio kama hayo bongo ni machache, sio ishu za uandishi wa habari, we are just cooler folks, huko kwenu week hii tu nishasikia mauaji ya kimapenzi zaidi ya tatu.Yapo mengi yanatendeka Tanzania japo hufichwa maana kule ni kama Korea Kaskazini, kila mtu hubabaishwa hatoi taarifa...
Japo kuna machache huangazwa kwenye vyombo vya habari kama hizi taarifa hapa chini za mama aliyechinja watoto wake sita na kujiua
Cha kushangaza hua mnatusifia mko na mahospitali nzuri na nyinyi ndo watu wa Amani kushinda kila mtu alafu mwisho wa siku watanzania wengi huzikwa kuliko wakenyaAti waandishi wa habari wazembe, we have more media stations than Kenya, its well known huko kwenu hakuna amani ni kuuana uana tu. Sasa usisingizie waandishi wetu. This is just a peaceful country by nature, huwezi linganisha na your shithole murdering point.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati waandishi wa habari wazembe, we have more media stations than Kenya, its well known huko kwenu hakuna amani ni kuuana uana tu. Sasa usisingizie waandishi wetu. This is just a peaceful country by nature, huwezi linganisha na your shithole murdering point.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania mnakufa kuliko wa Kenya... Unajua siku zote Yule ambae anapenda kuita wenzake wachoyo au wadaku au wenyewe wivu hua ndo wamejaa uchoyo/udaku/wivu na hua anajaribu Ku project hizo feeling zake Kwa wengine.... Mtaani mtu mdaku siku zote hua anazunguka akiambia waju 'Yule jamaa flani ni mdaku Sana, imagine juzi aliskia flani akiongea hivi na hivi, akaenda akamwambia flani na flani alafu Leo nimemuona kule kichinjoni akiongea na flani pekeyake...blah blah' ..... Mtu wa wivu pia hua hivyo hivyo.....ye ndo wa Kwanza kunyosha kidole cha kulaumu wengine wana wivu..Hata hao wakenya wanaijua na kuipenda Tanzania sana. Hawana point zaidi ya wivu, ona jinsi wanavyotafuta matukio moja moja. Tanzania hatuna roho za kikatili za kuchukiana kama wanyama, unategemea nini kama ndani ya nchi kuna familia nyingi zinamiliki silaha za kivita, tena wanawake na wanazionyesha hadharani lakini hakuna hatua yoyote ibayochukuliwa?. Kenya is really a failed state.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matukio kama hayo bongo ni machache, sio ishu za uandishi wa habari, we are just cooler folks, huko kwenu week hii tu nishasikia mauaji ya kimapenzi zaidi ya tatu.
Sasa ni watu waliojikatia tamaa ndio huamua kuua ua tu kirahisi namna hiyo.
Dont blame our media, we are naturally warm people buda.
Wivu itakuua
Sent using Jamii Forums mobile app