Wajuzi wa mambo, kuna huyu kocha mkongwe muargentina ninaemkubali sana anafahamika kama Marcelo Bielsa ambae kwasasa anafundisha pale Leeds Utd.
Navutiwa sana na style yake ya soka la pasi nyingi na kushambulia kwa kasi, nasikia hata Pep aliiba maufundi kwa huyu mwamba. Sasa ninachojiuliza kwanini timu kubwa hazihangaiki na huyu kocha?
Ukiangalia historia yake kafundisha vitimu vidogo kama Lille and the likes. Timu kama Man Utd inamng'ang'ania mmasai Ole Gunnar wakat Bielsa yupo, Barca mfumo wao unafanana na Bielsa lakin wapo na kocha alieshindwa timu mapema, Madrid nao ni kama hawamuoni wameangukia kwa Ancelotti, hata Arsenal nayo jamani ni kubwa kwa Bielsa!!? Sitaki kuamini labda kuna kitu nyuma ya pazia kuhusiana na huyu gwiji.
Kuna madhaifu gani kiufundi kwa huyu kocha? nakukumbuka lile pira lake lililowatoa jasho Spain kwenye world cup ya 2010 wakat huo akiwa kocha wa Chile, na Bilbao yake iliomsumbua mzee Fergie pale OT.
Kwa anaemfaham kiundani atudadavulie kuhusu huyu mwamba.
Alisha fundisha argentina nadhani ya 2002Timu ya Taifa kwanini wasimchukue?
Alisha fundisha argentina nadhani ya 2002
Mie nadhani tatizo kubwa ni kukosa team coordination angalia 2018 world cup team ulikuwa na potential players but lack of coordinationWangemuita tena aiweke sawa. Timu kubwa kama ile inakosaje makocha wazuri bwana...Simeon(Cholo) , Bielsa or Pocchetino hawa makocha walikuwa wanafaa sana kuifundisha timu ya taifa.
Bielsa anabadilika? Ni 4 1 4 1 haina kuremba. Kila timu anaipelekea moto mwanzo mwisho hamna kubadilika kutokana na mpinzani. Ni kama Klopp.Nahisi sikui nyota pia hana.. Mzee ni bonge la kocha, mie ili kocha awe mzuri kwangu ni lazima awe mkali wa mbinu.. Tajiri wa mifumo, kubadilika muda wowote kutegemea game ilivyo.
Hii yenyewe imetoka kwa formation yake nguli ya 3-3-1-3Bielsa anabadilika? Ni 4 1 4 1 haina kuremba. Kila timu anaipelekea moto mwanzo mwisho hamna kubadilika kutokana na mpinzani. Ni kama Klopp.
Kocha ambaye mi skilled kwa mbinu na anabadilisha mifumo game ikiendelea kwa kipindi hichi nimeona Carlo akifanya hivyo sana alipokua Everton.
Nilikua sifahama kama Simeoni "el cholo' nae kafundishwa na Bielsa, sasa lile pira lake sijui tuliiteje maana ni zaidi ya gwaride tofauti kabisa na falsafa za babu.Huyu jamaa ndiye mwalimu original kabisa wa Pep Guardiola pamoja na diego simeone aliwafundisha wote wawili ..guardiola anasema wakati anastafu soka alikwenda moja kwa moja mpaka argentina wakati huo bielsa hana timu kufika na kufika alimkuta tayari ana mifumo yote ya mpira wanayotumia timu za premier league mpaka championship waliidadavua na kuichambua kwa mapana huyu jamaa ni smart sana.
Kutokuepo timu kubwa wala sio swala hizi timu kubwa kama Man united na Arsenal zinaamini katika mipango ya muda mrefu kuyumba kwa Man united sasa hakumfanyi OGS kuwa mbaya la hasha bali anaandaliwa kuwa katika mpango wa muda mrefu kwa sababu ni zao lao ndio sababu hata Sir Alex miaka yake ya mwanzo alifanya vibaya sana kwa OGS ni swala la muda tu ni vitu vidogovidogo tu akifanyia kazi atakua bora ni swala la muda yeye na Arteta
Kabisa, argentina ya wakat huo ilikua na mastaa tupu, akina Batistuta na Crespo lakin wakashindwa kupenya group stages.Alisha fundisha argentina nadhani ya 2002
Mwishoni mwa ligi alibadili mfumo baada ya kuona anaruhusu bao nyingi, niliona anatumia sana 3-3-3-1 na ililipa sana.Bielsa anabadilika? Ni 4 1 4 1 haina kuremba. Kila timu anaipelekea moto mwanzo mwisho hamna kubadilika kutokana na mpinzani. Ni kama Klopp.
Kocha ambaye ni skilled kwa mbinu na anabadilisha mifumo game ikiendelea kwa kipindi hichi nimeona Carlo akifanya hivyo sana alipokua Everton.
Na ndio maana babu hamzimii saana el cholo..Nilikua sifahama kama Simeoni "el cholo' nae kafundishwa na Bielsa, sasa lile pira lake sijui tuliiteje maana ni zaidi ya gwaride tofauti kabisa na falsafa za babu.
Atm ya msimu huu iliyochukua kombe ni ambayo hata haikutarajiwa. Ushindi ulikua unapatikana kwa nguvu kubwa na ikafikia kipindi Felix akakaa kando na Carasco akawaoutshine aliowakuta.Na ndio maana babu hamzimii saana el cholo..
Ila ukilitizama pira la atletico kuna kipindi anaweka pira chini, zinagongwa pasi burudani. Kuna wakati anapiga pasi na wanakwenda kushambulia kwa speed kinoma.