So tunyamaze watu waendelee kuumizwa?No, tutasema ukweli,hatutaogopa,na hatutajali Zombie Apocalypse.Ambaye hatatusikia damu yake hatudaiwi.Ofcourse wapo watu ambao tayari ni zombified,hao hatuwezi kuwasaidia,lakini wapo watu ambao Mass Formation Psychosis haija take toll,that is our target.