Why China can't target U.S Aircraft Carriers

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,763
Reaction score
47,165
Wale wapinga Marekani na wanaosema Super Aircraft Carriers ni rahisi kuzizamisha someni hii.
 
Haya mambo ni kutishiana tu na kuwa na kitu fulani ni ili uwe na say ya kutokunyanyaswa.., (Cold War) ila ni kazi sana kupata nchi yoyote yenye guts za kuweza kuanza kumchokonoa mwingine kwa uwazi..., sababu karne ya sasa na vita vya sasa ukimwaga mboga mwenzako anamwaga ugali in the end nyote mnakufa njaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…