Why Always Kenya in E&C Africa?????

Kenya bonge la nchi
 
Danganyika is the largest Economy in the world after USA and China.....
 
Kwa best military kdf ni sawa kabisa

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Criteria ya kuwapa ubora ? Ukumbuke kwa East afrika Uganda ndio wqna personnel wengi kiliko nchi zote ... Licha ya kenya kupewa back up na israel, us na Uk lkn ktk hili la ubora wa vinosi hapo huwezi toa credit kwa kenya not a single day it is very hard ....kwanza izi nchi zpte ni maskini kwa hiyo useme kwa ubora wa jeshi toa ilo jambo ....
 
luangalila hapana weka Kenya na Masikini kina nyinyi tupe heshima ukanda huu kama Middle Income Nation uwache kulazimisha tuwe kikundi moja nanyi cha LDC.
 
Credit ya kuwapa KDF ni wingi wa vifaa vya kijeshi pia walionesha uwezo kwenye ile battle yao moja na so shabab japo kdf walipoteza wanajeshi 350 kwa nusu saa tu lkn walionesha uwezo wa kimapambano aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Credit ya kuwapa KDF ni wingi wa vifaa vya kijeshi pia walionesha uwezo kwenye ile battle yao moja na so shabab japo kdf walipoteza wanajeshi 350 kwa nusu saa tu lkn walionesha uwezo wa kimapambano aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app

hahaha we unawakejeli tu wakenya acha urongo !! mara nyingi ku determine ubora wa jeshi ni zana za ulinzi na idadi ya wanajeshi ss kwa upande wa idadi tu Tz wana personnel kama 27 thousand iv, kenya wana 24 thousand, uganda wana 29 thousand kubwa lao ni ethiopia wao wana 30 thousand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…