Whether you are a guy or a lady who cares? But most important be specific on the typical thirst you are! Is it socially, financially, politically, or what? Give the audience some tips so that to be served accordingly!
Express yourself for someone to understand the real situation you are!No retreat no surrender, thank you for your showing up. basically this is socially and academically.
not formal academic but rather the techniques of life to maneuver in different realms of life like financially and so forth
Express yourself for someone to understand the real situation you are!
Naweza kukusaidia kipengele hiki kwa jinsi nilivyokusoma.
"2. Kufahamu njia mbalimbali halali za kuweza kupata hela (sina mtaji) na baadae kuweza kuwaelekeza wengine na kuwavusha wengine"
Kama umepigika kweli utakuwa huna haibu ya kufanya biashara zenye hela lakini watu wanaona aibu na mazingira magumu.
Hatua ya kwanza:
Uza hiyo simu yako nadhani huwezi kukosa kiwango cha chini cha 50,000/. Hatua ya pili:
Kanunue sufuria la wastani la kujaa lita 10, Jiko la mkaa, unga wa ulezi kilo 5, maziwa fresh lita 2, sukari ya kuanzia, thermosi ya kuanzia, vikombe 5 na vijiko 2 na kikapu cha kubebea. Nenda sehemu za stend zenye msongamano mkubwa wa watu ambao hawalali. Wewe hiyo biashara ifanye usiku kuanzia saa 1 jioni. Baada ya hapo jiongeze kaanga chipsi. Nakuhakikishia utatoboa na kuwa tajiri! Tanguliza nidhamu ya hela!
Mambo mengine nikiyatazama looks like unataka kuwa mganga wa kienyeji! Hiyo ya uganga wa kienyeji hapa bongo utachemka kwasababu wako wengi wa kumwaga! Najua wewe ni mzungu! Kama maisha yamekushinda kwenu ulaya hapa bongo sio kabisa!Ahsante, ingawaje ni changamoto lakini i will see how best i can work it out.
Any other comment/idea?
thank you again
Mambo mengine nikiyatazama looks like unataka kuwa mganga wa kienyeji! Hiyo ya uganga wa kienyeji hapa bongo utachemka kwasababu wako wengi wa kumwaga! Najua wewe ni mzungu! Kama maisha yamekushinda kwenu ulaya hapa bongo sio kabisa!