maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,850
we ndo umeimba SMA na nast c?Pole
Hapana....we ndo umeimba SMA na nast c?
jina linaendania na yule msouth, jina la moto sana iloHapana....
kweli mkuu kila raia ana style yakeMwaga sumu hiyo mkuu nachofaham kila mtu ana namna yake ya kupunguza/kujipoza maumivu.
kweli mkuu kila raia ana style yake
hahaha na kioo pembeniKwahiyo kama wewe ni wa kumwaga maji ya vuguvugu yamwage sana mpaka kamasi zikutoke [emoji16]
nimeassume ilo neno "mliege" umelitamka linasound fresh sana inaonekanaMliege tu jamani
sawa sawa kulia kuna punguza sumuKuna hii nyimbo wanasema even heaven cries,sasa wanaume ni nani hata wasilie?
Mie ni moja ya watu wanaosupport kulia....mtu ukilia unajitibu kwa mambo kadhaa
Wanaume lieni aseee,tena vifua mbele mlie
It's unmasculine to cry because cutting onions it’s a girls thing.
Well, I am just kidding.
hahaha na kioo pembeni
There's always a little truth behind every "just kidding ". So Thank you.[emoji16] I will cry for you, I’m kidding. U mzma?
There's always a little truth behind every "just kidding ". So Thank you.
Not bad, not great, thank you for asking. How are you?