Robert kiyosaki alinibadili sana kuhusu matumizi ya pesa kiasi kwa nilikuwa bahili balaaa[emoji2]
Yaani nikitaka kununua kitu najiuliza marambili mbili kama kina faidi au hapana au ninacho kama hicho au sina
Kwa mtindo huu nikawa bahili Wa kutupwa japo nimepunguza Ila theory zake nyingi za pesa zipo kichwani[emoji2]