When and where to approach Women

Dude, you've spoken to me.
 
...Sjathoma mpaka mwisho ila umeandika bonge la uongoo, Ukinimaindi njoo unipige niko geto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo nimepata jambo usihangaike kudate na wanawake wa mtandaoni hasa jf

Kila mtu anataman kudate nayeeee

Tafuta wanawake wa mtaaani ujichagulie kwa raha zako
Wengine wanakua hawana standards wengine over.kumpata umnaendana ni changamoto sana humu jf
 
Huyu jamaa kaamua kunilipua kabisa

Hii lugha gani jamn

Mtafasiri yafadhali talipwa

Teh
 
hizi nondo nazifanyia kazi..., hallaaa maDZ wenzangu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…