Whats Free in Mobile Antivirusez?

willzkichaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
422
Reaction score
191
Polen na majukumu. Nna kitu kinanitatiza. Hivi hizi anti-virus za bure za kwenye simu za Android zina msaada wwte?
Hizi android zinaweza kua attacked na virus?
 
Naona mnatoa mijicho tuu. Hata hamnisaidii
 
Nadhani bado hakuna threat kubwa kwenye Android OS. Nina Avast ambayo haijawahi kukamata viruses na hata nilipoongeza anti virus nyingine bado hakuna tishio na simu yangu iko neti 24/7
 
Nadhani bado hakuna threat kubwa kwenye Android OS. Nina Avast ambayo haijawahi kukamata viruses na hata nilipoongeza anti virus nyingine bado hakuna tishio na simu yangu iko neti 24/7

Asante sana. Ila nahisi kama hizi free hazina kitu kwani zingekua na uwezo wa kawaida kusingekua na za kununua. Swali lingine. Kuna tofauti ipi na zinazouzwa?
 
Antvirus za simu kama android zina kazi zaidi ya kulinda virus
kutrack simu ikiibiwa
kuiblock
kui wipe data zako

tofauti ya bure na kunua ni baadhi ya function zinakuwa disabled kwenye free version
 
Ni biashara tu hizo! kama unatumia android au iphone hakuna haja ya anti-virus, kama unatumia symbian sawa.
 
Well, Ahsanteni sana. Utata na hofu zimeisha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…