What is wrong with this picture??

1. Lady kama hajavaa pichu.
2 na 3 nimechemka Boflo.
Ila mapenzi matamu.
 
Last edited by a moderator:
Rangi ya mkono ambao umeonekana kama wa dem ni tofaut na rangi yake haric
Pili size ya huyo dem n ndogo na uklingansha ilvyotakiwa iwe
 
1.Mwanamke ana mikono miwili ya kushoto.
2.Mkono mmoja umegawanyika mara2.
 
Hapo pana mwanaume mmoja na wanawake wawili (watu watatu)
Mwanamke wa kwanza kainama chini ya hapo mkono wake umepita hapo kwenye mguu wa jamaa (mweupe) na miguu wake ndio huo ulioshikwa.
Mwanamke wa pili kajitokeza kuanzi kitovuni na kuangaliana uso kwa uso au sikio la kulia la huyo jamaa na huyo njemba.
 
Mbona haina tatizo....
-mkono wa demu ni mmoja ambao uko chini ya kwapa.
-Huo mkono kwenye kikojoleo ni wa jamaa anaprotect his assets and mwengine uko kwenye mapaja ya bidada

Nilichoona mimi, huyo dada anamikorogo kibao mpaka hana rangi moja, mkono mweupe ------ meusi, kifua kahawia....lol
 
1 nywele zilizopita usoni kwa mwanaume sio za mwanamke kwenye picha

2. mkono ulioshika kiuno ch mwanaume sio ya msichana kwenye picha

3. Mkono wa mwanaume umekuwa edited
 
1. You are not in it
2. You r not in it
3. U r nt in it.
Thats whats wrong
 
Makosa ni yafuatayo :-


  1. Kosa kubwa ni kuwapiga picha wakiwa kwenye hali hiyo
  2. Kosa la pili ni kuiweka jf
  3. Kosa la tatu ni kuiona nikiwa kazini, can't do nothing.

Hapo kwenye red, definitely, you make no nonsense.

Tena kwa usiku huu wote if you can't do nothing, then possibly you can do something, anything or even everything.

I ain't got no money. Let's go for a ride around New York City.
 
paja lililokamatwa na mwanaume sio la huyo mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…