bush bado hajaacha ustupidity wake..huyu jamaa sijui alikuaje rais wa america...ni mshamba careless hajuagi anachofanya... kuna waafrika ambao hata shule hawajaenda kule detroit, manhattan lakini wame vote kama kawaida na hawakukosea kwanini akosee yeye...the dumbest US president ever...imekula kwake japokua haijalishi sana kwa sababu texas ni full RED(republican) so hata ndugu zake wote wangempigia kura obama bado romney angechukua texas