Labda kichwa habari kinawabagua.... lakini kama kundi ndani ya jamii wanayohaki ya kutumia mtandao na tovuti zilizofanyafanyiwa utafiti.
Mzee moja aliwahi kumwambia kijana wa miaka 20:.. "Mimi mzee..ngozi tu.. lakini roho yangu kama yako kijana ..changa! inatamani kila unachokitamani"
Na watu weupe wakaja na msemo..: Age ain't nothing but a number... Hii inathibitisha mitizano na tabia za kundi hili....jinsi wanavyonwa na jamii na wanavyojiona wenyewe
Mengine tutawasema lakini nani asiyetaka kwenda na wakati... apotee wakati anaweza kuingia kwenye mtandao akapata atakavyo...mpaka huko kwenye picha nyeti ??! wakati hana mtu wa kumliwaza au wa kumjulia hali zaidi ya upweke wake? FAINALI UZEENI. MECHI HII INAYAKIWA ITAYARISHWE...