This theft must be distinguished at once by the adroitShikamoo wakenyaa
Mkuu kwa kukadiria kiasi ambacho ATM machine moja inaweza kubeba $200,000. Sasa hapo ni kiasi gani Cha pesa kimebebwa?Dah! movie zingine zitapigwa marufuku sasa. Hii mambo ya The bank Job. kutoboa ukuta wa bank bila kugundulika na ku activate mitambo ta alarm na cctv sio kazi ndogo. Ila kama wameiba tu mtambo wa ATM na hawakuingia kwenye safe kuchota mpunga, watakua wametumia jitihada kubwa mno kwa faida ndogo.
Ila habari inasema kisanduku cha kuhifadhia pesa, nafikiri wanamaanisha safe.
Zile ATM mashine hazina uwezo wa kuhifadhi pesa nyingi sana, hapo hatujaweka kigezo cha muda wizi uliotokea, ambapo unaweza kukuta pesa tayari zilishapunguzwa na wateja.
cc The bold
Mkuu kwa kukadiria kiasi ambacho ATM machine moja inaweza kubeba $200,000. Sasa hapo ni kiasi gani Cha pesa kimebebwa?
Wakenya ni wezi HASA!! Wizi ndicho kitu pekee kinachowatofautisha wakenya na watu wengine.
Kenya hakuna fursa za kumiliki ardhi kwa kilimo au ajira binafsi ndiyo maana imebaki raia wapige bongo sana kufanya wizi na utapeli wa hali ya juu. Ardhi inamilikiwa na wachache na biashara pia ni za wageni kiasi wanaishia kuwa "machinga/madalali" wa bidhaa za nje kama colgate, sabuni ya imperial n.k
Si bure raia waKenya wanalilia sana mipaka ya nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki ifunguliwe ili wapata fursa za kilimo, ajira na biashara maana Kenya nafasi hizo zimebanwa sana matajiri wachache wa ndani na makampuni ya kigeni.