Wezesha Dark Mode kwenye Chrome yako ya Android.

Wazee nimejaribu lakini nimeambulia patupu,, ivo basi naamua kuwa mpole
 
Naamini ukifika android 9 ndiyo imepewa hii feature sasa sina hakika kama j2 inafika hiyo version very sorry labda uweke Custom Roms
Hii 7.1
Version ya samsung experience 8.5

Custom roms ni ipi
 
Mi nimefika hapa lkn nikienda kwny vidot vi3 siioni ile dark mode
 
Sio samsung experience ni android version ndio inayotakiwa..iwe kuanzia 9, otherwise ndio habari za kuroot zihusike
Hii 7.1
Version ya samsung experience 8.5

Custom roms ni ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…