An African Member Joined Aug 18, 2015 Posts 10 Reaction score 6 Aug 27, 2015 #1 Hello JF, Anatafutwa kijana mwenye kuanzia Diploma akiwa na bachelor itakuwa safi zaidi ya IT, akiwa na professional certification kama Network plus, C C N A or C C N P itakuwa ni added advantage...maana nataka kijana mzuri wa network. Atume Cv kwenye ymwaki@softnet.co.tz na yusuphmwaki@yahoo.com asanteni sana
Hello JF, Anatafutwa kijana mwenye kuanzia Diploma akiwa na bachelor itakuwa safi zaidi ya IT, akiwa na professional certification kama Network plus, C C N A or C C N P itakuwa ni added advantage...maana nataka kijana mzuri wa network. Atume Cv kwenye ymwaki@softnet.co.tz na yusuphmwaki@yahoo.com asanteni sana
M2 Makini Member Joined Dec 19, 2014 Posts 93 Reaction score 33 Sep 2, 2015 #2 Unamuhitaji katika ishu ipi awe mwalimu kufundisha ccna na ccnp,au kuna ishu za networking asimamie??
Unamuhitaji katika ishu ipi awe mwalimu kufundisha ccna na ccnp,au kuna ishu za networking asimamie??