Wenyeji wa Simiyu

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Bado sijapata mteja wa kiwanja,kipo wilaya ya Busega,Tafadhari,kama unakiitaji,nitafute
manyilezu91@gmail.com
Ukubwa wake ni 37M kwa 17M nipe laki 3 tu inanitosha,
 
wandugu vipi?
Au mpaka nisemeje umjue nina shida?
 
wandugu vipi?
Au mpaka nisemeje umjue nina shida?
Mkuu ingekuwa kiwanja kinasafirishika kutoka sehem moja kwenda kwingine,tungefanya biashara chap chap mapemaaaaa
 
Cc Mtemi Chenge a.k.a mzee wa vijisenti
Huyu anaweza kununua huko,maana naamini ni maeneo yake ya kujidai!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…