Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
Mbunge wa jimbo la Nyamagana mh Wenje(Chadema) atakuwa na mkutano mkubwa wa hadhala leo ktk uwanja wa Sahara ili kuzugumza na wapiga kura wake mambo mbali mbali yanayohusu jimbo la Nyamagana na taifa kwa ujumla.
CHANZO:Gari la matangazo la Chadema

Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.

laana mliyonayo ya udini na ukabila ndio chanzo cha kudumaa sensa na hamjakoma tuHivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, (mpona???!!!) ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
Mkuu wapi na saa Ngapi?
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
Hivi leo umekuaje Mkuu??Hivi Wenje, kila ukifanya mkutano lazima ufanyie kwenye uwanja Sahara kwa sababu kuna Wakurya wenzako, mpona ufanyi mkutano Mirongo, Nyakambungo, Furahisha, Mbugani, Isamilo.
tehetehe kweli siasaMASHA yeye uwa anafanya wapi?