Wengi wanakimbilia ACT Wazalendo kwa sababu ni chama huru baada ya Zitto Kabwe kustaafu. Mwabukusi na Mbatia watajwa kuhamia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,653
143,028
Kama alivyosema Ismael Jussa kwamba mabadiliko kamili nchini Tanzania yataanzia Zanzibar kupitia ACT wazalendo " mpya"

Sasa nimeanza kumuelewa nawaona Watu wanagombea Kadi

Kustaafu kwa Zitto Kabwe kumewapa mtaji mkubwa ACT wazalendo

Ramadan Mubarak πŸ˜€
 
Hata Nyerere alijifanya kujiweka kando ccm ila akawa anamnanga Mwinyi kiaina. Zito bado anazodoc za usajili za ACT kazificha Mwandiga. Subiri siku kutokee mpambano utaona rangi yake halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…