vodacom byebye nyie kazi uizi mtupu. ngashtuka!!
airtel nitakupenda daima nitakutumikia milele na milele.
voda mmeniibia vya kutosha. kazi kunilazimisha nijiunge kila siku halafu nikikataa mnafyeka pesa zangu zote zilizo kwenye acc yangu. msonyoooooo. nimewavumilia weee sasa nimeamua kutengana na nyie.
RIP VODACOM.
airtel wenyewe nao wezi tu nimewahi kujiunga na kifurushi cha dk 35 kwa 24hrs saa 20.07 usiku,nimeamka nimekuta sekunde 0 ,mb 125 na sms 297 .Nikapiga huduma kwa wateja hakuna cha maana wanachojibu ni