K kind lady Member Joined Mar 12, 2015 Posts 42 Reaction score 5 Mar 26, 2015 #1 Kina ukubwa wa nusu eka kipo Chanika mtungini karibu na shule ya secondary chanika. Bei 12mil 0784198482. Ukiwekeza kwenye ardhi hutojutia hela yako baada ya mwaka mmoja utakiuza mara mbili ya pesa uliyonunulia. Karibuni
Kina ukubwa wa nusu eka kipo Chanika mtungini karibu na shule ya secondary chanika. Bei 12mil 0784198482. Ukiwekeza kwenye ardhi hutojutia hela yako baada ya mwaka mmoja utakiuza mara mbili ya pesa uliyonunulia. Karibuni
ERIK JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 623 Reaction score 315 Mar 26, 2015 #2 kwani wewe hutaki kuuza marambil ya hii bei baada ya iyo miaka 2?
K kind lady Member Joined Mar 12, 2015 Posts 42 Reaction score 5 Mar 26, 2015 Thread starter #3 ERIK said: kwani wewe hutaki kuuza marambil ya hii bei baada ya iyo miaka 2? Click to expand... Nina shida na hela ambayo haiwezi kusubiri miaka miwili wala mmoja hata hivyo hata mimi nakiuza mara nyingi ya bei niliyonunulianiliyonunulia miaka mitano iliyopita
ERIK said: kwani wewe hutaki kuuza marambil ya hii bei baada ya iyo miaka 2? Click to expand... Nina shida na hela ambayo haiwezi kusubiri miaka miwili wala mmoja hata hivyo hata mimi nakiuza mara nyingi ya bei niliyonunulianiliyonunulia miaka mitano iliyopita