vp wana jf mko powa? Heb leten ujanja wenu juu ya hii kituu maana had sasa huyu mtu cjamwelewa yukoje
kwa ufupi tuu nilikutana na dem ktk mtandao mmoja hv aaf yule dem ndio kwanza cku ya pili tumekutana anniambia eti yupo cngl kwa hyo nitoke nae ah nikakataa kwa mda hule bt mda nikaja kumkubali mwenyewe tukaanza mahusiano but hatujawah onana kwa face to face maana yy yupo mbali tukaenda poa tu bt baada ya kama mwez mambo yakabadilika mpaka akani UNFRIEND bila ya sababu na mm nikamalizia kum BLOCK maana nlijua cyo bahati but cku ya pili yake akatengeneza id nyngne ya fb aaf aka ni add tena huku akiomba radhi na kusema c yy aliyoni unfrnd ila cjui ni dada yake nikachukulia poa tu 2kaenda poa cku kdg akaja kuniblock tea aaf akani add mwenyewe huku akiniomba radh tena nikamsamehe bt mpaka sasa haipiti cku 5 bila ya kunikacrikia na mm nikikacrika nikimu unfrnd huwa anni add tena mwenyewe heb nipeni USHAURI WENU nifanyeje?
c'est la vie!
Uandishi kwa kifacebook huo
Uko sawa kabisa, hawa watoto wanasoma sangapi?
Teenagers wanahitaji kufundishwa kwa upendo na kutiwa moyo.
Pia mapenzi ya mitandao ni mabaya sana kwa wale wenzangu wanaojua watanikubali,(jaribu kuskiliza testimony through emmenuel tv za watu walioathirika na mapenzi ya mitandao) yaani its kind of devil initiation, humjui anayekupenda huko facebook ni mtu gani,ametoka wapi,ana malengo gani n.k.
Take care sana kijana wetu usipotee!!
Yaani wewe na haya maneno yako wa facebook ndiyo umeona ni changamoto, teh teh teh,
Kwa nini wahangaike kusoma ili hali wanategemea paper livuje?