WEE ogopa mapenzi ya facebook ni balaa

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
vp wana jf mko powa? Heb leten ujanja wenu juu ya hii kituu maana had sasa huyu mtu cjamwelewa yukoje
kwa ufupi tuu nilikutana na dem ktk mtandao mmoja hv aaf yule dem ndio kwanza cku ya pili tumekutana anniambia eti yupo cngl kwa hyo nitoke nae ah nikakataa kwa mda hule bt mda nikaja kumkubali mwenyewe tukaanza mahusiano but hatujawah onana kwa face to face maana yy yupo mbali tukaenda poa tu bt baada ya kama mwez mambo yakabadilika mpaka akani UNFRIEND bila ya sababu na mm nikamalizia kum BLOCK maana nlijua cyo bahati but cku ya pili yake akatengeneza id nyngne ya fb aaf aka ni add tena huku akiomba radhi na kusema c yy aliyoni unfrnd ila cjui ni dada yake nikachukulia poa tu 2kaenda poa cku kdg akaja kuniblock tea aaf akani add mwenyewe huku akiniomba radh tena nikamsamehe bt mpaka sasa haipiti cku 5 bila ya kunikacrikia na mm nikikacrika nikimu unfrnd huwa anni add tena mwenyewe heb nipeni USHAURI WENU nifanyeje?
 
on - off, on - off, on - off your friendship characterised like a

thermostat when heated. still it works depends on the type and objectives behind your relation
 

Uandishi kwa kifacebook huo.
 
Duuh!!
Kweli hii nchi inapoelekea hatari jamani wazazi hata kama tupo busy jamani........tusiwaache watoto walelewe na madada wa nyumbani tu.

Kijana huyo ni msichana wa facebook tu yaani akiwa na mood ya kutoy na ww anakutafuta then anakuacha sasa kuanza kufikiria vitu ambavyo ujaviona ni mbaya kwa afya. Muache huko huko facebook.
 
Dah wazazi kazi tunayo. We mtoto una umri gani kwanza, hebu tuanzie hapo?
 
soma kwa bidii,zingatia masomo yako
 
Hawa watoto wa siku hizi tabu sana! Baba yao akisafiri tu wanachukua laptop na moderm yake wanamalizia bundle. Ona sasa huyu, bado wiki chache tu afanye mtihani wa darasa la saba lakini yuko bussy na FB. Tutafika kweli?
 
Teenagers wanahitaji kufundishwa kwa upendo na kutiwa moyo.
Pia mapenzi ya mitandao ni mabaya sana kwa wale wenzangu wanaojua watanikubali,(jaribu kuskiliza testimony through emmenuel tv za watu walioathirika na mapenzi ya mitandao) yaani its kind of devil initiation, humjui anayekupenda huko facebook ni mtu gani,ametoka wapi,ana malengo gani n.k.
Take care sana kijana wetu usipotee!!
 
Ushamba mkubwa huu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Naona wala ugali kwa picha ya samaki...

Kama upo makini ungalimtafuta msichana huyo na mkatambuana...
 
wakuu mkiambiwa mtoe mawazo yenu ndio mtoe mawazo siyo kila kiandikwacho hapo kuna ukwel ndani yake sometime just huwa ni changamoto tuu sijui MMENIELEWAAAA???
 
Look like f4(2012)
 
wakuu mkiambiwa mtoe mawazo yenu ndio mtoe mawazo siyo kila kiandikwacho hapo kuna ukwel ndani yake sometime just huwa ni changamoto tuu sijui MMENIELEWAAAA???
Yaani wewe na haya maneno yako wa facebook ndiyo umeona ni changamoto, teh teh teh,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…