LitmusPaper Member Joined Dec 2, 2012 Posts 33 Reaction score 12 May 27, 2013 #1 Napenda kuwapongeza watu wa tume ya ajira. Website yao iko active...! Inatoa taarifa muhimu na za uhakika. Sio mbaya nawewe ukapongeza hapa, hata kama uliomba kazi ukakosa.
Napenda kuwapongeza watu wa tume ya ajira. Website yao iko active...! Inatoa taarifa muhimu na za uhakika. Sio mbaya nawewe ukapongeza hapa, hata kama uliomba kazi ukakosa.
B BUNUNGULI Senior Member Joined Apr 4, 2013 Posts 192 Reaction score 37 May 27, 2013 #2 Wale watu wapo serious sana ila sishangai maana vichwa vilivyopo pale si vya kubahatisha